Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo.

Jen haamini macho yake 🤣
View attachment 3455059
Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema alimtumia nauli mwanamke huyo lakini baada ya kutuma nauli mwanamke huyo hakuweza kwenda. Mbaya zaidi akawa hapokei simu

Mahakama imemkuta na hatia mwanamke huyo na kumfunga miaka 7 jela aidha amlipe Emmanuel N420,000

Kuna Mpemba fulani nataka nimpeleke Kisutu. Dharau zimezidi
View attachment 3455070
Mmmmh, coincidence ?, mbona kama inanihusu kabisa hii duhšŸ˜šŸ˜šŸ˜Ž, majina the same yote, kasoro lengo tu, na kiasi ni karibu ichoicho. dunia ngumu sana hii.
 
Hii inabidi wajitokeze vijana kadhaa wa kutoa mfano. Wakishitakiwa kama 50 hivi na habari ikawekwa hewani adabu na pesa za watu itakuwepo.
 
Back
Top Bottom