iSOME PICHA HII NA STORY YAKE CHINI
Huyu baba alihukumiwa adhabu kifo kwa kunyimwa chakula mpaka afekwa kosa kuiba mkate wakati wa Utawala wa mfalme Louis X1V. Ni mtu mmoja aliruhusiwa kumwona ambaye alikuwa binti wake wapekee. Huyu binti wake alikuwa na mtot anayenyonya. Basi kil alipokuja kumwona baba yake kila siku alikuwa anampa ziwa lake ananyonya na aliweza kuishi mpaka miezi 4.
Watawala wakashangaa inakuwaje hafi. Wakafanya uchunguzi na kugundua kuwa alikuwa ananyonya maziwa ya binti wake. Binti alifunguliwa kesi lkn Jaji kwa kutambua mapenzi ya mtoto kwa baba yaek, akamfutia kesi na kumtoa gerezani baba yake!
PICHA HII ILIUZWA EURO 30,000,000