Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate.
Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye.
Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee akiwa hai na wala haja konda. Kwa siri walitaka kujua siri ya kuishi kwake bila chakula.
Walipogundua binti yake alimnuonyesha kila siku, walipata mshangao na huruma iliwaingia kiasi cha kumtoa mzee gerezani akawe na familia yake.
Kuna waliochora picha ya tukio hili na imeuzwa mwaka huu Ufaransa kwa milioni £30.