Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa unacheza mechi za kimataifa ya ng'ambo tu eeπŸ˜‚
 
au sio mbwembwe mingii ...
tiketi ya ndege si hadi uwe na iyo value..
unafikiri kama kigarula nani a risk mzigo wake wote ? Kama unayo unatoa waungwana wanarudhisha na zaidi.. maana inaonesha kidogo ka akili ka kujielewa
 
πŸ˜‚ Upo level za anga Kuna watu nyehunge ni ndege yao
 
au sio mbwembwe mingii ...
tiketi ya ndege si hadi uwe na iyo value..
unafikiri kama kigarula nani a risk mzigo wake wote ? Kama unayo unatoa waungwana wanarudhisha na zaidi.. maana inaonesha kidogo ka akili ka kujielewa
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Sipandi nyehunge case closed boma liwanza
 
Mwisho wa siku ni kuumia tu manake sasa kuonana ni mara moja kwa mwaka, hata kuwekwa kizembe na watu baki ni rahisi manake nyege zikikaba koo unashindwa kujizuia.
Kuna ka mwanamke kalitumia invoice ya mwewe.. go and return.. nikapige kimyaaa .. kila siku kanauliza sikajibu wala nini.. nauchunaaaa . badae mbona kalipanda basi kenyewe kaja πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hawa ifikie mahala tukaze tusiendekeze nyegee.. unaweza lipa mwewe alafu ikawa nikutoa bokoo tu tu
 
Ile kuthubutu kijigharamia, inaongeza thamani ya mtu kwenye mahusiano; tofauti itakuwa ni gold digger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…