ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ulkuwa sahihi, nauli ya buku ukiomba mtu anaona hapa mbona nimejishusha sana, japo wengine hatuna maneno ya "it's not my type 'Dah, hii kali. Sikumbuki katika mahusiano yangu kama niliwai kuomba nauli za hapa na pale. Kumbe nlikua nakosea[emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app