Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Usijali mkuu wakati ukifika utatuma mwenyewe. Uishi miaka mingi eeh
Kama una mfanano huu, nakutumia hiyo tiketi sasa hivi..

leo3.jpg
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.

Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.

kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.

Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.

Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Unatuma nauli halafu unakutana na maswali ya hivi
Screenshot_20230604-214409_WhatsApp.jpg
 
Hahaha enjoy mama, japo najua fika hiyo ngozi haiwezagi mikito ya kiafrika lkn ni watundu sana...fore play wanaiweza sana.
Kwa wale walio onja ngozi nyeupe watanielewa.
Walio onjwa na midume wameshuhudia haya ...na tuliojaribu ke weupe tunajua walivyo wa baridi but mahaba wanayaweza[emoji23]
Naona hujakutana na ngozi nyeupe ikakuoeleka mpaka saa huo unarudi isiwe ishu.

Ika binafsi Mimi naona ni hisia ukiwa unamfeel mtu joto unalisikia tu. Kuna mromania moja Huwa namkubalu sana yaani ngoja niishie hapa[emoji23]
 
Mwanangu alimtumia demu laki aje kutoka morogoro kuja dar mixer na kumpa maagizo aje angalau na kilo kadhaa za mchele, bwana weee mtt kila akipigiwa cm Niko njian mida inatokomea tu akona isiwe tabu akamblock mshikaji mwana akaniomba nimpigie baada ya kupokea na kujua ni Mimi pia akanitwanga block
Inasikitisha sana 😀 😀
 
Naona hujakutana na ngozi nyeupe ikakuoeleka mpaka saa huo unarudi isiwe ishu.

Ika binafsi Mimi naona ni hisia ukiwa unamfeel mtu joto unalisikia tu. Kuna mromania moja Huwa namkubalu sana yaani ngoja niishie hapa[emoji23]
Eastern Europe ina wanawake watam balaa mkuu!
 
kikubwa ufike. Muyajenge hata mkitaka hata kununua Gulfstream 650 ... ila muache kuwa matonyaaa.. unashindwa jikatie tiketi ya go and return ? alafu ukifanya hivyo sie wanaume tunakukubali sana utaona ma miamala ya kutosha maana mtu atana una akili nzuri na ya kimaendeleo.. ila sio mnaanza tu hata nauli ya KISBO inakutoa kando [emoji28][emoji28]
hii ni kweli mwanamke anaemba nauli ya 50k shuka chini akija niomba hela after date simpi zaidi ya 30k otherwise anieleze shida ya ndani sana itakayonishawishi nimpe 100k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.

Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.

kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.

Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.

Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Umeongea kwa uchungu sana
Mwenye kusikia na askie hili
 
Back
Top Bottom