Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

😅😅 banaa wee mademu wa mwanza watamu kuliko wa Dar.. ila uzuri mademu wa kule hawaombi, unashagaa kafika kalipia room hotel, katandika mashuka yake chumbaa kinanunikia utuli.. na msosi kaisha nunua pale kijiwe mishikaki.. na kinywaji upendachoo . sio hawa wezi wa dar hata geust ya buku 15 hawezi lipia
🤣🤣🤣🤣 Shemela,Kwa hiyo warembo wa Dslam ni wagaigai?? Aisee wadada wa Mwanza wavalishwe medals Maana si Kwa ukarimu Huo...
 
So, you're done dating Africans! Dada unaonekana kwa mwandiko wako sio haba, mimi huyu nitume ticket ya pipa...nitakuwa na kichaa wallah tena
Wengine tulishatuma mkuu🤣🤣🤣
Mwingine unakuta yuko mkoa na ni mwajiriwa...nafasi yake ni weekend tu utafanyaje asiporuka na mwewe Ijumaa na Monday morning arejee na mwewe wa kwanza?😂😂😂
 
Back
Top Bottom