Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Nishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa

Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu

Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]

Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
 
Uko sahihi kabisa! Ushauri wako unafaa sana, hususan kwa vijana wetu. Kila upande hauna budi kuchangia gharama za kujenga uhusiano wenye afya na unaonufaisha pande zote mbili. Kongole!
 
Hakika wwe ni Mama mzungu una roho ya kizungu huyo mwamba alikua na mazingira mabovu hakutaka uyajue. Mnapatikana wapi wa hivi? Kumbe bado mpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…