Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Utaskia kwanza sikukuita ulikuja mwenyewe 😀😀Sio wanaume wa Tanzania msio na shukrani,sana sana baadae ataanza kukuchamba demu gani Yuko desperate,anajileta Kwa nauli yake,atakusemaa wee mpaka ujute.Bora hata akusimange huku pesa yake alokupa inamuuma