Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
YeaNa kula je??, Au na penyewe mvivu😀
Kuna Muda km sshv Sina appetit kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeaNa kula je??, Au na penyewe mvivu😀
Una jua kupika? 😀Yea
Kuna Muda km sshv Sina appetit kabisa
Mwanamke nisijue?Una jua kupika? 😀
Asante kwa marekebisho mkuu, siku jua hiloStory nzuri.
Lakini naomba utengue kauli Yako kuhusu kamera za barabarani, hapo Zanzibar sio tu barabarani, mitaa ya stone town inakamera kwenye njia za waenda Kwa miguu zote.
Kuna matukio mawili yamewahi kutokea barabarani, kamera zilisaidia sana ufuatiliaji Hadi gari iliyohusika na uhalifu kukamatwa.
Una jua kupika nini??, Au ni kuku tu🤣Mwanamke nisijue?
Sijaelewa hivyo mi
Duh 🤣Una jua kupika nini??, Au ni kuku tu🤣
Asante kwa marekebisho mkuu, siku jua hilo
Ehh, namjua best angu ana jua kupika nyama tu😀🤣Duh 🤣
Hii ndo iko deep sanaNashukuru mkuu, ngoja niangaze angaze naweza jifunza kitu hapa😊