Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Unitag mkuu ili nisipitweSawa mkuu, jioni Ina kuja nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unitag mkuu ili nisipitweSawa mkuu, jioni Ina kuja nyingine.
Sawa mkuu.Unitag mkuu ili nisipitwe
Story ya kweliIntelligent businessman
Hii sio movie?
SawaStory ya kweli
Sidhani, mi nili Soma news zaoSawa
But haina movie yake?
Hata kama umeshuhudia Kwa macho Bado unaweza kushindwa bila kuwa na ushahidi unaoshikika.Upelelezi ni kazi inayohitaji pesa nyingi na vifaa na vya kisasa Tz kwetu hamna uwekezaji huo ndo maana wauaji wengi wanashinda kesi mahakamani wanarudi mtaani kinacho watesa ni kukaa mahabusu muda mrefu tu anaweka kukaa hata miaka 6 mahabusu kwasababu kesi haina dhamana ila baadae anashinda kesi kwasababu ushahidi haujitoshelezi labda awepo shahidi alieshuhudia kwa macho yake ndo huyo mtuhumiwa anaweza kufungwa
Shahidi wa kuona kwa macho ndo shahidi anaehitajika zaidi kwenye kesi za mauaji akiwepo umekwishaHata kama umeshuhudia Kwa macho Bado unaweza kushindwa bila kuwa na ushahidi unaoshikika.
Utahakikishia vipi mahakama kama ni kweli unachokisem umekiona na sio kutunga bila kuwa na ushahidi unaoshikika?Shahidi wa kuona kwa macho ndo shahidi anaehitajika zaidi kwenye kesi za mauaji akiwepo umekwisha
Jaribu kuhudhuria mahakamani ukiwa upo free utaona ni jinsi gani watu wana proveUtahakikishia vipi mahakama kama ni kweli unachokisem umekiona na sio kutunga bila kuwa na ushahidi unaoshikika?
Unaweza kupewa tatizo la afya ya akili kuwa unasema mambo yanayofikilika.
Upige picha crime scene hapo sawa, uwe na kifaa chochote kilichotumika na hakikisha haukishiki maana kinaweza kukujumuisha na wewe. Lakini Kwa kusema Kwa mdomo unaweza kupangwa tu.
Japo kibongo bongo kufungwa au kuachiwa huru inategemea na nguvu ya uchumi wako, uwe na mawakili wazoefu hata kama umefanya tukio unatoboa.Jaribu kuhudhuria mahakamani ukiwa upo free utaona ni jinsi gani watu wana prove
Ndo ukweli unaweza kutengenezewa mashahidi wa uongo na ukafungwaJapo kibongo bongo kufungwa au kuachiwa huru inategemea na nguvu ya uchumi wako, uwe na mawakili wazoefu hata kama umefanya tukio unatoboa.
Na ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye ushahidi wa kimaabara. Hii unapata majibu yasiokuwa na mashaka ( evidence without any doubt).
Sisi huku Bado tutatumia kumsoma mtu kihisia sometimes tunakosea sana.
KumbeSidhani, mi nili Soma news zao
Ila mi Mtu aki nifanyia hivyo, hiyoo Vita haiishi kizembe😀Ndo ukweli unaweza kutengenezewa mashahidi wa uongo na ukafungwa
Hongera ya nini 😀Kumbe
Okay,hongera
All rightInteresting
Ya kusoma na kuileta hapaHongera ya nini 😀
Na kula je??, Au na penyewe mvivu😀Ya kusoma na kuileta hapa
Mi mvivu kusoma makala ndefu