Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #41
Ushaisha bro, ziko episode 4Miaka ya nyuma Jamaicans walikuwa wanaingia UK bila Visa na matukio yakawa mengi sana
Yaani wajamaica wakawa wanatumika kuja kuuwa hapa na siku ya pili au ya Tatu anarudi Kingston bila kujulikana
Crimes zilizidi ndipo mwaka 2003 serikali ya Uingereza ikaamua Jamaica lazima waombe visa kabla ya kuja hapa na matukio yakapungua sana
Ila kuna mauwaji mpaka leo ni Cold cases ambazo zimelala tu
Kweli zipo kesi huwa zinakaa hata miaka 40
Haya tumalizie mkasa wetu sasa