Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hiyo ni photolab rafiki 🤣 hilo wigi nimeiba huko huko. Mimi bado nanyoa.SI uli nambia we kibonge, na Ume nyoa😀.
👉Kumbe uli nidanganya🤔😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni photolab rafiki 🤣 hilo wigi nimeiba huko huko. Mimi bado nanyoa.SI uli nambia we kibonge, na Ume nyoa😀.
👉Kumbe uli nidanganya🤔😃
Ma uwongo tu, Afu pm zangu 50 huzioni😃Hiyo ni photolab rafiki 🤣 hilo wigi nimeiba huko huko. Mimi bado nanyoa.
Pm kuna mbwa mkali.Ma uwongo tu, Afu pm zangu 50 huzioni😃
Aisee, kweli kibonge Ume niweza😃😃.Pm kuna mbwa mkali.
😃😃 Ulale sasa au ulipo ni mchana?Aisee, kweli kibonge Ume niweza😃😃.
👉Sema ngoja nimtafute Jamaa was iringa, ili amgeuze doggy mboga😃😃
Usingizi sio my favorite recipe, Afu naku Linda kibonge😄😃😃😃 Ulale sasa au ulipo ni mchana?
Sio kwa bandiko hili
We mwenyewe nusu albino, Afu una penda kitonga😃Sio kwa bandiko hili
Ni kweli mkuu, ulikuwa sahihi.Hahahahahaha na uzee nao
Pamoja mkuuSafi sana uko vzr
Miksa Wana vizia waking pige kizinga😃😃Maskari wa wenzetu, akili nyingii nguvu kiasi,
Wa kwetu sasa 😂😂🤣 ni NGUVU KULUKUNDU miguvu mingii akili kisoda, wakikamata ni mateso tu, hata kosa sio lako utakiri tu, kisha uende kupambana mahakamani.
Jioni mkuu, itakuja nyingineAsante sana bro
Tafuta nyingine
Yaani kesi za mauwaji naangalia sana ingawa niko tofauti
😂 uyo mbwa aliekupa ilo jina ana bahati sana kama bado anaishiWe mwenyewe nusu albino, Afu una penda kitonga😃
We mbweha tu😃, a.kma nusu albino😂 uyo mbwa aliekupa ilo jina ana bahati sana kama bado anaishi
KumaaaaaaanishaWe mbweha tu😃, a.kma nusu albino
Hahahahaha..safi sana km umeona niliamua kukaa kutokana na jibu lako...Ni kweli mkuu, ulikuwa sahihi.
👉Baadhi ya maneno yalikuwa yame banana-ila nime rekebisha 🙏.
Ulikuwa sahihi mzee, ba samahani kwa jibu la haraka🙏🙏Hahahahaha..safi sana km umeona niliamua kukaa kutokana na jibu lako...
NB : mtu akikosea huwa namuacha akosee mpk atakaposhtuka kuwa kakosea
NUSU ALBINOO VUNGAKumaaaaaaanisha
Hahahahahaha...usijari kabisa mkuu ..niko vzr mno ktk maandishi na pia na heshimu anacholeta mtu...tuko pamoja..story nzuri..imenifanya niongeze kituUlikuwa sahihi mzee, ba samahani kwa jibu la haraka🙏🙏
Sawa mkuu, jioni Ina kuja nyingine.Hahahahahaha...usijari kabisa mkuu ..niko vzr mno ktk maandishi na pia na heshimu anacholeta mtu...tuko pamoja..story nzuri..imenifanya niongeze kitu