Mapenzi ya mtandaoni yameniangushia kwa binti mwenye ulemavu, hakika huyu ndiye chaguo la moyo wangu

Nauhakika mapenzi yako sio timilifu. Nakwambia ukweli mkuu umevutiwa na muonekano wake alivyojaaliwa na Mungu ila ukimtazama machoni kwako ile kupotelewa na kiungo chake kimoja kunakupotezea hali ya kujiamini.
Nakushauri ujipe muda wa kutafakari kabla mahusiano yenu hayajaota mizizi zaidi. Vinginevyo ukiamua kweli uamue mazima usije ukamuumiza dada wa watu make yeye atakupenda kwa dhati na kukuamini. Hofu yangu usije ukamtenda huko mbeleni kwa maneno yenye masimango hasa juu ya ulemavu wake utakuwa umemuumiza sana.

Kila la heri mkuu!
 
Nyege tu zinakusumbua, ukisha mvua chupi mara mbili tatu, utakuja na story nyingine. All the best
 
Pye pye pye nyiiingi!
Ushagonga sasa!
 
Weka picha
 
Picha yake tafahali, ikiwezekana utuwekee hata na baiskeli yake anayoendesha tuipime machoni mwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…