Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
safi sana mwamba kazi hapo hapo mpe amani ya moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalalamika ndio mbona umemkimbiza AnalyseNilalamike kwako?
Sasa wenge la nini? Unapaniki utadhani jamaa anamjua huyo Binti. Halafu sijaona baya alilosemaUnaonaje ukishika hamsini zako kiroho safi kabisa?
😅😅😅😅 Au sio, lakini yy kamaanisha tofauti
Mko vizuri wazazi.Hilo tuachie sie wazazi wako Analyse
Ni kwelikila lakheri mkuu .mapenzi huchipua popote
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama vile hulalamiki, ila unalalamika.
Anyway, kila la kheri kwenu
Pye pye pye nyiiingi!Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway.
Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar, nikaangiza kinywaji changu huku nikimsubiri mrembo.
Haikuchukua muda mrefu, angaingia msichana mrefu mweupe. Nikamkaribisha kwa hug moja matata sana.
Ule ulemavu wa mkono wake uliokatwa baada ya yeye kupata ajali, kwangu sijaona kwamba ni kasoro wala dosari. Nimeona ni chachu ya mimi kumpa moyo wangu wote, kumpenda zaidi na kumtunza kikamilifu.
Huyu binti sitaki nimuache, daima amekuwa akilini mwangu. Sijawahi kupenda namna hii.
Namuomba Mungu aliimarishe penzi letu hata tuufikie mwisho mwema
Mkuu habari za asubuhi 🖐️Mko vizuri wazazi.
🙆🙆🙆
#YNWA
Weka pichaKwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway.
Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar, nikaangiza kinywaji changu huku nikimsubiri mrembo.
Haikuchukua muda mrefu, angaingia msichana mrefu mweupe. Nikamkaribisha kwa hug moja matata sana.
Ule ulemavu wa mkono wake uliokatwa baada ya yeye kupata ajali, kwangu sijaona kwamba ni kasoro wala dosari. Nimeona ni chachu ya mimi kumpa moyo wangu wote, kumpenda zaidi na kumtunza kikamilifu.
Huyu binti sitaki nimuache, daima amekuwa akilini mwangu. Sijawahi kupenda namna hii.
Namuomba Mungu aliimarishe penzi letu hata tuufikie mwisho mwema
Picha yake tafahali, ikiwezekana utuwekee hata na baiskeli yake anayoendesha tuipime machoni mwetu.Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.