Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Utasikia mtu anajiita star anahubiri eti hakuna ndoa bila hela, mbona hii pisi kali ilidumu katika shida na raha.
Hii ni kitambo miaka 20 nyuma,wakati huo watu walikuwa wanajishughulisha na kujituma hakukuwa na mambo ya kudanga bado ustaarabu ulikuwepo

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Najua, wasikate tamaa waamini Mungu yupo kuna siku watashinda. Hata mimi nimepitia mengi sana siku nikipata muda nitasimulia te a mikasa mingine ambayo ya maumivu ila Mungu ananishindia na naendelea kupambana.
Ila wema hawadumu mtunze mwanao umenifunza penye Nia pana njia waweza weka hii katika filamu kumuenzi R na elimu ktka jamii
 
Ana miaka 14, yupo kidato cha pili
Hongera sana kwake na wewe pia katika hii hatua mliyofikia.

Ila umenichekesha sana ulipomuomba mdogo wako mkojo ukautumie kwa UPT test, hahahaaa.

Ulikuwa mdadisi sana hadi ukatambua kuwa Nesi alitumia mkojo kupima ujauzito
 
Yaani mkuu acha tu ni katika kujinusuru tu.
 
Nilichopenda zaidi kuhusu R alikuwa na mapenzi ya kweli na huyu binti na alisimamia majukumu yake ya kuhakikisha binti hapati shida yoyote ile na pia kupata elimu yake kwa kiwango cha juu kabisa.

Gone too soon. Mujini huyo R angeitwa Husband material.
Aisee, pole sana kwa misukosuko ya Maisha, R alikuwa vizuri sana kulinganisha na umri wake..
 
Back
Top Bottom