Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana.
Sasa hii corona si unajua michongo mingi imekata. Ile hela ya bia hana sikuhizi anashinda nyumbani na bukta anajua channels zote za TV. Sasa kama anajua mkewe anazo anazo basi atataka DSTV aangalie Al-Jazeera na Sky News.
Amekua mwema kiasi cha kusaidia kupanga nguo kwenye upande wa wife. Mara anakutana na cheque ya milioni 5 umelipwa Tax returns. Wewe utanunuliwa wine na atakwambia uwahi kupumzika kwani unachoka sana. Ataogesha watoto na kuhakikisha wamekula na kuosha meno. Atakumbuka hata kusali na watoto kitu ambacho ulishasahau kuwa anajua kusali.
Utapewa romance kama zile za dating days. Baada ya hapo ndiyo utasikia sisi ni familia tumeshakua kitu kimoja. Mama nanii ninashida ya milioni tatu tu nitazirudisha.
Hukumwambia kwakua nyumba ya shangazi Mwanauani inavuja na ulipanga kumbadilishia bati. Shangazi anakaa kwenye nyumba aliyoachiwa na wazazi wake.