Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,160
- 488
Ndo hapo sasa .
Hiki pia ni kipindi kizuri kwa wale tuochapiwa kujionea ongezeko kubwa la viashiria vya uhakika kuhusu hiloSasa hivi wako main house full time
If it happens a wife has michepuko equally this has an implication, those wives hawapendagi mume akae kwa nyumba vile ataleta kiwingu cha wife kutoka atakavyo na kupiga simu na kupigiwa simu, mostly kwa hao wives ambao hufanya yao time mume akisepa kwenda job, utasikia hubby hujaboeka chukua hata elfu10 au 20 ukaoshe macho usiboreke maana Razia sultan has made wives heads of tv useYani saa nyingine mnaweza kuhangaika mkipata hela mwanaume usumbufu acha njia kuu zi enjoy, kwanza wababa wanapata mda mwingi wakukaa na watoto na kuweka bond nzuri,Mara wawafundishe full burdan
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakaaje kwa mume wa dada yako na wewe mbuzi ??Shukrani zimwendee yule popo wa China,
Unapewa mapenzi moto moto hadi unatuhadithia wadogo zako.
Unanikumbusha kipindi ninashi kwa dada, shemeji akirudi kutoka safari Baada ya wiki 3,dada asubuhi ana raha, tabasam kuubwa [emoji85][emoji85][emoji85] mashemeji tulikuwa tunapigia mstari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Kuna kipindi nlikuwa na shida sina pesa alafu manzi anataka kuja nikamzuia, alihisi labda janja janja anaibiwa, nilitaka kumficha asijue kuwa nimeyumba kiuchumi,, maswali mengi hatimaye nikafunguka siko poa, akasema nakuja ivo ivo usijali ila nimtumie tu nauli, basi nikatuma nauli,, baada ya masaa akafika,, hapo niko na hofu tele mtoto ataweza kula mboga mboga[emoji23], ila alijua sina furaha kabisa kwa kuwa niko juu ya mawe,, basi kwa makusudi akaifungua pochi yake ili nione misimbazi [emoji13], asubuhi nikamwambia niazime, akasema hata usirudishe we chukua tu, HADI LEO TUMEKUWA WAPENZI SUGU, SUGUUUUU SUGUUUUU, SUGUUUUU [emoji91]
Unamsoma form one boarding Singida
Alisikika mlevi mmoja.Hiyo ni kero moja tu inamfanya mwanamke atuone wanaume wajinga lakini ni mara ngapi mwanaume anajitoa kwa mwanamke lakini hamna swala la kujipublish kwamba mke wangu karudisha mapenzi baada ya kuona pesa....Ni wazi unaweza ukaazimwa hata Mil 3 lakini ushawai jiuliza vigharama vidogo vidogo alivyotumia kwako vinaweza kuzidi hata mara mbili ya hiyo?