Sasa hivi wako main house full timeHahaaa Uzi imenifuraisha tangia corona ianze shoga angu anaelewana na mumewe michepuko imewekwa kando Yani full raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi wako main house full time
Sasa hivi wako main house full time
😂🤣Shukrani zimwendee yule popo wa China,
Unapewa mapenzi moto moto hadi unatuhadithia wadogo zako.
Unanikumbusha kipindi ninashi kwa dada, shemeji akirudi kutoka safari Baada ya wiki 3,dada asubuhi ana raha, tabasam kuubwa [emoji85][emoji85][emoji85] mashemeji tulikuwa tunapigia mstari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app