Mapenzi ya wanaume akishajua una pesa na kwake hali ni ngumu

[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Kuna kipindi nlikuwa na shida sina pesa alafu manzi anataka kuja nikamzuia, alihisi labda janja janja anaibiwa, nilitaka kumficha asijue kuwa nimeyumba kiuchumi,, maswali mengi hatimaye nikafunguka siko poa, akasema nakuja ivo ivo usijali ila nimtumie tu nauli, basi nikatuma nauli,, baada ya masaa akafika,, hapo niko na hofu tele mtoto ataweza kula mboga mboga[emoji23], ila alijua sina furaha kabisa kwa kuwa niko juu ya mawe,, basi kwa makusudi akaifungua pochi yake ili nione misimbazi [emoji13], asubuhi nikamwambia niazime, akasema hata usirudishe we chukua tu, HADI LEO TUMEKUWA WAPENZI SUGU, SUGUUUUU SUGUUUUU, SUGUUUUU [emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani saa nyingine mnaweza kuhangaika mkipata hela mwanaume usumbufu acha njia kuu zi enjoy, kwanza wababa wanapata mda mwingi wakukaa na watoto na kuweka bond nzuri,Mara wawafundishe full burdan

Sent using Jamii Forums mobile app
If it happens a wife has michepuko equally this has an implication, those wives hawapendagi mume akae kwa nyumba vile ataleta kiwingu cha wife kutoka atakavyo na kupiga simu na kupigiwa simu, mostly kwa hao wives ambao hufanya yao time mume akisepa kwenda job, utasikia hubby hujaboeka chukua hata elfu10 au 20 ukaoshe macho usiboreke maana Razia sultan has made wives heads of tv use
 
Hiyo ni kero moja tu inamfanya mwanamke atuone wanaume wajinga lakini ni mara ngapi mwanaume anajitoa kwa mwanamke lakini hamna swala la kujipublish kwamba mke wangu karudisha mapenzi baada ya kuona pesa....Ni wazi unaweza ukaazimwa hata Mil 3 lakini ushawai jiuliza vigharama vidogo vidogo alivyotumia kwako vinaweza kuzidi hata mara mbili ya hiyo?
 
Hii corona mpaka iishe NDOA nyingi zitakuwa zimeimarika........hata simu huna haja ya pswd......michepuko imejicovid yenyewe........nani haogopi kifo??.......ila na yenyewe itapita tuu....
 
Hii corona mpaka iishe NDOA nyingi zitakuwa zimeimarika........hata simu huna haja ya pswd......michepuko imejicovid yenyewe........nani haogopi kifo??.......ila na yenyewe itapita tuu....
😂😂😂😂
 
Unakaaje kwa mume wa dada yako na wewe mbuzi ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nasemajeeee, na mtaachana tuuu. ☹️☹️[emoji22]
 
Alisikika mlevi mmoja.

"Hela ya mwanamke chungu alafu ina masimango,unaweza ukawa unatoa hela kila siku lkn kuna kipindi kama cha mwezi mmoja ukakwama ukaomba busta hata ya laki tano, siku mkigombana lazima akumbushie,utakuta wewe unamgharamia kuanzia yeye mpaka familia yake,unafika kipindi hata wazazi wako huwakumbuki...."
 
“Sina cha kuchangia mama,mana ni tabia asilia ya wanawake kuwa selfish.Niko radhi kuoa mwanamke aliepalalaiz mwili wote akabakiza kichwa tu na uwezo wa kuongea,niko radhi kumuhudumia kwa kila kitu na kumfanya malkia milele kuliko kuoa mwanamke alienizidi kipato mana naamini iko siku nitashindwa kuvumilia dharau za kike na kumchinja kama kuku.
 
Huku kwetu mambo ndo yamechanganya. Wachina wanataka bondo na wayahudi na wanorwey wanataka kitoweo hivyo hayo kwetu ni mageni. Ngoja niende ziwani nikamtafute sangara maana anahitajika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…