Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Mapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu.
Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini?
Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha.
Ila enzi za mababu zetu, ilikuwa full burudani; mnakutana mkiwa hamna kitu, baadaye mnachuma pamoja na kumiliki vitu.
Hii ndio sababu kuu za ndoa zao kudumu zaidi ya miaka 50.
Kama unabisha, njoo huku kwenye shamba la mahindi 😀