Mapenzi ya zamani yalikuwa raha sana, natamani yajirudie.

f9.jpg
 
Juzi wakati waalimu wa field wakiwa na wiki tatu unusu katika field yao mambo ya zamani yalitaka kujitokeza mara baada ya mwalimu wa kike na kiume (wote wa field) kwnda uwanjani mida ya usiku huku wakitongozana. Duru zinasema mwalimu wa kiume aliona maneno matupu hayavunji mifupa ndipo alipoamua kumgaragaza mwalimu wa kike chini huku akimtaka wafañye mchezo wa shetani lakini bahati ilikuwa Kwa mwalimu wa kike aliyempiku wa kiume na kuhepa na njia kuelekea quarters walikokuwa wanakaa wenzake. Alipofika kule ndipo akawapa story nzima huku nguo zake zikiwa zimetapakaa majani makavu. Story ilizagaa shule nzima hadi huyo madam akiwa anafundisha wanafunzi wanaaanza kumwongelea chinichini
 
Asingesimulia.
 
atleast nyie baadhi ya mabroo mme-experience upendo wa kweli kwenye era yenu
hongereni sana karibuni kwenye generation yetu kama huna kitu hupati kitu
 
Huko ni kidhalilishana. Afu kesi ya aibu kama hiyo kwanini isikikizwe na kikosi kizima, angekuwa mwanamke ndo kavuliwa nguo, feminist wa haki za binadamu wangepiga kelele kwenye media tusingekaa.
😁😁😁🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom