ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Niachee🤣🤣🤣🤣Acha uoga wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niachee🤣🤣🤣🤣Acha uoga wewe
Ila watoto wa kike wa siku hizi wanashindwa kuficha hisia zao, yaani mtoto akikupenda utamtambua tu. Kuna mmajo alinielewa mwaka Jana akawa anajipitisha mbele huku akitingisha Kwa nguvu almanusura avunjike kiuno nilivyogundua kuwa huyu ananitaka nikakaza, na yeye alivyoona Sina habari naye akaanza kuimba ule wembo wa harmonize eti "I'm single... I'm single again... You know I'm single". Nyambafu!
Si kuhisi,,,ni yakutengenezwa,, Afya biashara.Wakati mwingine huwa nahisi haya magonjwa ni yakutengeneza
Daah nimekupigia picha, nilichosema Mungu ajua😂😂😂Raha kwa nyie wa zamani, sisi wa sasa raha ni sasa, hatuwezi sikia raha za zamani maana hatukuwepo.
Namshukuru Mungu kuishi nyakati hizi.
😀😀😀😀 sio vizuri ujue!Daah nimekupigia picha, nilichosema Mungu ajua😂😂😂
Hapo utasikia sitaki, nimesema niache ntapiga keleleMapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu.
Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini?
Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha.
Ila enzi za mababu zetu, ilikuwa full burudani; mnakutana mkiwa hamna kitu, baadaye mnachuma pamoja na kumiliki vitu.
Hii ndio sababu kuu za ndoa zao kudumu zaidi ya miaka 50.
Kama unabisha, njoo huku kwenye shamba la mahindi 😀
View attachment 3092690
Ndio imetokea hivyo😀😀😀😀 sio vizuri ujue!