Mapenzi ya zamani yalikuwa raha sana, natamani yajirudie.

Anahisi akimuachia nafasi hapo, hampati tena
Rafiki yangu mmoja hapo zamani aliahidiwa na demu kwamba wangekutana shambani, siku ya kukutana ikafika na jamaa alikuwa ameshajiaandaa kisaikolojia. Akafika shambani lakini demu hakufika jamaa alipoona kuwa upwiru umemzidia akaamua kumgeuza kondoo aliyekuwa amefungwa pale shambani kuwa mapenzi wake wa muda. Baadaye alibainika kuwa amezini na kondoo kesi ikaenda Kwa wazee, jamaa aliitwa kwenye mkutano wa Kijiji kujibu mashtaka hatimaye jamaa alikiri na kuomba asamehewe lakini wanawake waliokiwepo kwenye kikao walipiga makelele wakisema "ili tukusamehe inabidi uvue nguo tuone huo uume wako ulioutumia kumfurahisha kondoo". Wanawake bhana!
 
Kijiji cha mkoa upi?
 
Bila kitu kabisa 😅 atumie Pesa yake?
 
Ila watoto wa kike wa siku hizi wanashindwa kuficha hisia zao, yaani mtoto akikupenda utamtambua tu. Kuna mmajo alinielewa mwaka Jana akawa anajipitisha mbele huku akitingisha Kwa nguvu almanusura avunjike kiuno nilivyogundua kuwa huyu ananitaka nikakaza, na yeye alivyoona Sina habari naye akaanza kuimba ule wembo wa harmonize eti "I'm single... I'm single again... You know I'm single". Nyambafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…