Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Inawezakana ila mayowe ni mengi sana 😂😂
 
Tafuta hela
 
Hakuhakikishia ukiweza kuvumilia moyo wako kuvuja damu na jasha kwa mda wa mwaka tu au miezi 6 hayo yote utayaona kama ni mapito tu
ingawa kumpata mtu ambaye mlikuwa mnaendana kihisia au mazingira itakuchukua miaka au miezi mara mbili zaidi mlivyo dumu katika relationship.

Nilipokuwa chuo yalinitokea kama haya yako yaani unafanya vitu mpaka unahisi moyo upo katikati ya maua mazuri yanayonukia ila sasa maua hayo yakioza aiseee utahisi dunia yote inakuangukia,

Kwa upande wangu me nimepona maumivu na nilimuacha akaenda kutafta mwanaume bora maishani mwake.
 
Asante sana nmeelewa, be blessed
 

Hizo ni Fantasy love, hebu rudini kwenye reality ya kibongo achananeni na uzungu koko
 
Karudi na mimba huyo au mtoto kabisa...
 
Hahahhaha unataka happy Ending ?? Piga puchu. Mkuu kaa karibu na watu usije jidhuru au kujinyonga
 
Man down man down copy!
 
Hahaha nimewahi kupitia hizi situation Ila nilivuka salama.

Mkuu simama wewe ni mwanaume - Acha kukaa peke yako tafuta kampani na Wana. Jipe muda.

Kuanzia Leo ishi Kwa hii kauli mbiu "Maisha ni mafupi na sote tutakufa ndani ya miaka kadhaa ijayo kwanini uteseke? , Itafute Amani "
 
...Huston, We have a Problem!...
 
Kuna mwamba kachukua huo mzigo move on bro
 
Men Wat a he'll is wrong wit you [emoji2][emoji2] "These h**s ain't Loyal" na hapo sio Man down, upo barricaded
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…