Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!
yafai na nimegundua kwa kumchunguza kupitia Instagram kuona insta live anafurahia na wenzie
Kuna mwana anapiga ,na ndiye aliyempokea Airport
 
Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli!

Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect combination
Wacha kufosi mambo,hupendwi.
 
Chochote utakachokifanya
HAKIKISHA HUANZISHI MAHISIANO KIPINDI HICHI
Utakuja nishukuru.
By the way watu wengi wamepitia/wanapitia situation kama yako usiwekeze sana akili humo next time hope umejufunza lakin.
Jitahidi sana kujali kiridhika kimapenzi yaani kutoa hizo mzungu ukiamini huyu ananipenda 50/hanipendi 50
So lolote likitokea poa
 
It seems ni relationship yako ya kwanza. Uki handle this utakua very strong

Ukishakua legend haya mambo hayatakusumbua sana
 
Umeongea[emoji1][emoji1][emoji1] kwamim nahisi bado ajawa mwanaume labda ni mvulana maana sababu nazoziona apo ni kua anazimiss kwa uyo dem naona walikua teen couple so bahat mbaya wadada wanawahi kua matured ndo imemcost uyu jamaa...but otherwize you better move on.
 
Well said....uyu bado boy kos kama ni mwanaume hawez taja izo interest kua ndo vitu anavyomiss kwa uyo dem kua vitu vya msingi na sijaona hata moja[emoji2369]
af uyo dada mi naona yupo sahihi alivyoenda nje akawa matured karudi kajua ni nini anataka kwenye maisha mayb...so anataka mtu gentreman anayeweza kumhandle kama mdada sa uyu jamaa atakuja kukua af ukija kukumbuka izo moments atajiona alikua bwege kulia lia ivi[emoji16] ila kila mwanaume hupitia izi moments kabla hajakomaa ata mimi niliwahi kua ivo kitambo.
 
Mkuu pole Sana....njia pekee ya kukuweka salama ni kukubali kuwa sio wako tena....na usijiulize kwanini amekufanyia hivi....Hilo swali huwa linaibua machungu Sana....just let go bro,it is what it is!
 
Jipe muda mkuu utakuwa sawa hayo maumivu yatabaki historia tu Ila Kuna kitu umejifunza katika mahusiano pia usiingie haraka kwenye mahusiano mengine ili upooze maumivu utakuwa unajidanganya muda ndiyo utakao amua yote ...muombe Mungu kwa imani yako ili upate amani ya moyo
 
Back
Top Bottom