Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

Optimists

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2021
Posts
467
Reaction score
1,358
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa...

Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za hao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....

Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na hao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawali hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake.

Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta hao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...

Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia 😁😁, Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...

Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...

Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....

Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
 
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa... Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za ao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....

Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na ao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawai hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake...

Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta ao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...

Duuh Pole , Bora umejua mapema,ila Mwambie kama atakuwa muelewa atajirekebisha,Elimu Dunia!
 
Sijaona kosa la mwanamke ila mkuu wewe ni malaya tulia atutaki utengenezaji wa single mom APA beba mkeo nenda naye shambani

Bado ujakutana na majanga ya wanawake ujakomaa utakuja kurudia huu comment

Yaani binti umuheshimu unaona raha kuzichapa nje stupid
 
Tulikua tumeachana mzee, Sasa kama tumeachana nisitafute mbususu nyingine mkuu 😁
 
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa... Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za ao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....

Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na ao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawai hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake...

Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta ao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...

Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia [emoji16][emoji16], Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...

Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...

Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....

Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
Kwa akili zako hizo achana na kuoa hao wanawake watakua bure, bado hujawajua hao wa dudu kalime mkuu, mimi nina shida na kupata heka 100 huko kwenu zipo? Shilling ngapi bei?
 
Tulikua tumeachana mzee, Sasa kama tumeachana nisitafute mbususu nyingine mkuu 😁
Iyo ni hasira za mimba tulia lea mtoto wako niamini mimi huyo mwanamke hana shida

Bora kuoa mwanamke anakupenda kuliko kuoa unayempenda vikianza visa hutaamini jera kugusa

N.b kosea vyote sio wife za kuambiwa changanya na zako
 
Sawa mkuu nimekuelewa.
 
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, ..
tatizo Lina anzia hapa Kwenye kusimamia biashara zako kisa uko bize, aisee uta Lia na kusaga meno kwa kirumi
 
Back
Top Bottom