Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Soma wakwe zangu to be, means bado sana.Kataa ndoa wote mnawaita hapa kuanzia Sgt. komasava kumbe rais ana wakwe!
Ndo kwanza marafiki, ila ni mtu mzuri.
Soma wakwe zangu to be, means bado sana.Kataa ndoa wote mnawaita hapa kuanzia Sgt. komasava kumbe rais ana wakwe!
Mapenzi hayahitaji nguvu ni akili tu nguvu elekeza kwenye utafutaji mali.Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa...
Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za hao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....
Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na hao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawali hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake.
Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta hao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...
Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia 😁😁, Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...
Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...
Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....
Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
itabidi tukupindue kumbe una mipango ya kuoa [emoji1787]Soma wakwe zangu to be, means bado sana.
Ndo kwanza marafiki, ila ni mtu mzuri.
Hapana bro, sio leo sio kesho. Bado nipo sana.itabidi tukupindue kumbe una mipango ya kuoa [emoji1787]
Mkuu natumia experience Mimi mzee wangu anasafiri Kila week kufata mzigo nchi jirani, naona mama ndio in charge, ila tokea tunasoma nikimuomba mama hela anasema nimpigie mzee, hata akiwa nje kafata mzigo, yaani mother alikua hawezi kutoa hela yoyote mpaka father aridhie shida ni kuipata hiyo akili, but natamani sana kupata mwanamke wa hivyo...
Covax Vishu Mtata uttoh2002 Mshana Jr
haha sawa kiongozi tuunde katiba mpya hicho kifungu kiongezwe.Hapana bro, sio leo sio kesho. Bado nipo sana.
Kwa mamlaka niliyo nayo hilo sio ombi ni lazima🤣😆haha sawa kiongozi tuunde katiba mpya hicho kifungu kiongezwe.
Naona umejiuliza swali na ukajijibu, Mimi simu yangu siweki password, then nilipokutana nae nilikua nimeshaachana na wale mademu, alikuta text tu tsup, ndio akachukua namba,Mkuu, kuna namna uko very weak na huyo demu anakumudu.
Hizo guts za kupekua simu na kuchukua number anazitoa wapi, na muda hio wewe unafanya nini?,
Maana yake ni aidha umempa nywila, au alikulazimisha kwa nguvu na anapekua anavyotaka
Wewe ni dhaifu sana
Hizo tu guts za kushika simu na mlishaachana ndio tayari inadhiirisha ni weak na una uanaume ukiwa nae.Naona umejiuliza swali na ukajijibu, Mimi simu yangu siweki password, then nilipokutana nae nilikua nimeshaachana na wale mademu, alikuta text tu tsup, ndio akachukua namba,
Hivi viuno tushavichezea sana na hatujawahi hata kuwaza kutoa urithiBro usicheze na ugwadu na viuno vya pwani au vya umakondeni.. Kama sio legend unaweza kugawa mpaka urithi😭😂
Babayo alimuoa mamayo sio kwa minajili ya kumuweka kwenye biashara zake, hiyo imekuja kutokea baada ya mambo kua mengi ikabidi wasaidiane sasa(japo sikujui).Mkuu natumia experience Mimi mzee wangu anasafiri Kila week kufata mzigo nchi jirani, naona mama ndio in charge, ila tokea tunasoma nikimuomba mama hela anasema nimpigie mzee, hata akiwa nje kafata mzigo, yaani mother alikua hawezi kutoa hela yoyote mpaka father aridhie shida ni kuipata hiyo akili, but natamani sana kupata mwanamke wa hivyo...
Covax Vishu Mtata uttoh2002 Mshana Jr