Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

Bro usicheze na ugwadu na viuno vya pwani au vya umakondeni.. Kama sio legend unaweza kugawa mpaka urithi😭😂

Ha ha ha! Uanaume kazi, ila sio kwa sisi ma Legend aisee, nitakupa kila kitu mwanamke anaitaji, ila kwenye mifumo ya Biashara ni mfanyakazi na Bocy, Hakuna mke wala mapenzi
 
But a short time to live...
Baada ya mazao kukomaa, kuvuna na kuanza kuingiza shekeli.. Hizo nyege hujui hata zimeingilia mlango gani.. Maana zitakuvamia mama mwizi😀

Hata wakati wa kulima ana nyege, anajidanganya, you can’t replace mapenzi na chochote, labda serious kickboxing, yao ni kwa mda tu!

Yeye aendelee na mapenzi ila aache wala future za biashara zake akimhusisha mwanamke yeyote duniani, atakuwa Fala!

Mwanamke aisee ni kiumbe cha ajabu, usije wekeza moyo wako humo utakuja kulizwa mpaka ushangae!
 
Miaka 29 umri umeenda🤔

Hivi unamjua mzabzab 🥶ana 46 years lakini bado anaishi kwao huku anapiga punyere kwa sabuni ya wasafi

My take,usitegemee akili za mwanamke kwenye mapambano mwanamke kwako awe "domestic attendant"
" wa nyumbani basi"
Hata mimi nimeshangaa 29yrs tu tayar anasema umri umeenda 😢😢😢
 
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa...

Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za hao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....

Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na hao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawali hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake.

Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta hao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...

Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia 😁😁, Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...

Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...

Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....

Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
Mkuu, hao mashemeji wa zamani huitwa 'dear X'. Yaani unatafuta kaneno kazuri kumpamba, sawa na zeruzeru hutakiwa kuitwa albino.

Yawezekana kiswahili kina ukakasi sana.

Je umeshatafuta mbadala?

Maana si unaujua tena namna mkojo wa asubuhi unavyoshawishi?

Tafuta mwanamke wa maana wa kuweza kukuliwaza na kukutuliza akili zako uweze kufanya project zako kwa utulivu, mbona wapo tu wengi, hapo ndiyo utafurahia maisha sasa.

Lakini hao mashankumpe wa kuokoteza barabarani huwa hawajitambui na hawajifunzi, utapoteza tu muda wako bure.

Piga chini, kibali kimetolewa.
 
Kila mtu anadhan akimfungulia mkewe biashara ndo yatulia😅😅
Mkuu natumia experience Mimi mzee wangu anasafiri Kila week kufata mzigo nchi jirani, naona mama ndio in charge, ila tokea tunasoma nikimuomba mama hela anasema nimpigie mzee, hata akiwa nje kafata mzigo, yaani mother alikua hawezi kutoa hela yoyote mpaka father aridhie shida ni kuipata hiyo akili, but natamani sana kupata mwanamke wa hivyo...
Covax Vishu Mtata uttoh2002 Mshana Jr
 
Nimemalza kusoma andiko lote, wew ndo tatizo kubwa, huyo bi dada hana tatizo, haiwezekan mwanaume wake anaektegemea kama mme wa maisha, anapokua mbal na wew, unaanza u malaya wa kubadri wanawake kwa kivuri cha kutokua sirias nao, "wew ni malaya tena malaya uliyeshndikana" Bi dada anakelwa na hao wanawake zako
 
Mkuu natumia experience Mimi mzee wangu anasafiri Kila week kufata mzigo nchi jirani, naona mama ndio in charge, ila tokea tunasoma nikimuomba mama hela anasema nimpigie mzee, hata akiwa nje kafata mzigo, yaani mother alikua hawezi kutoa hela yoyote mpaka father aridhie shida ni kuipata hiyo akili, but natamani sana kupata mwanamke wa hivyo...
Covax Vishu Mtata uttoh2002 Mshana Jr
Mpk awe na akili iyo mkuu jitahidi
 
Back
Top Bottom