Duuh Pole , Bora umejua mapema,ila Mwambie kama atakuwa muelewa atajirekebisha,Elimu Dunia!Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa... Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za ao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....
Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na ao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawai hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake...
Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta ao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...
Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia 😁😁, Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...
Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...
Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....
Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
Tulikua tumeachana mzee, Sasa kama tumeachana nisitafute mbususu nyingine mkuu 😁Sijaona kosa la mwanamke ila mkuu wewe ni malaya tulia atutaki utengenezaji wa single mom APA beba mkeo nenda naye shambani
Bado ujakutana na majanga ya wanawake ujakomaa utakuja kurudia huu comment
Yaani binti umuheshimu unaona raha kuzichapa nje stupid
Kwa akili zako hizo achana na kuoa hao wanawake watakua bure, bado hujawajua hao wa dudu kalime mkuu, mimi nina shida na kupata heka 100 huko kwenu zipo? Shilling ngapi bei?Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina Binti nilimpa mimba, nilitamani niishe naye tulee mtoto pamoja, lakini huyu Binti naona kabisa hata kama nikimuoa uko mbeleni atakuja kuniua kabisa... Huyu Binti ni mtu wangu wa miaka mingi, lakinj migogoro naye miaka yote ni mingi saana, mimba nilimpa kwa bahati mbaya nikasema nitailea hakuna shida, na nilimwambia itabidi akijifungua tuishi woote, dah huyu mwanamke ni noma, nilidhani atajifunza, Iko hivi tulipokua tunaachana hapo nyuma nilikua naingia kwenye mahusiano mengine ya kupita yasiyo serious, mbaya zaidi nikimrudia, anakagua simu na kuchukua namba za ao wanawake (Ambao mahusiano yalikua ya kupita sio serious)...baasi wataongea huko, atanielezea kwa ao wanawake, mbaya zaidi anafanya wawe marafiki zake, watapigiana simu (nashangaa sijui kichwani mwake anawaza nini)....
Nilishamkataza habari hizo za kuwasiliana na ao wanawake ambao nilikua nao kwakupita tu kipindi yeye hayupo, lakini hanisikii, wanawake wenyewe hajawai hata kuwaona basi tu anawaletea shobo na kujifanya ni rafiki zake...
Juzi hapa katika harakati za kumkataza nikamwambia kwamba "naona uko bize unajifanya kuwatafuta ao wanawake kwanza hawakusaidii kwa chochote, hawatakuongezea kitu chochote kwahiyo jiulize kwenye maisha unataka nini? Naona Kila kwenye picha anayopost huyo mwanamke unacomment na kujifanya uko ni rafiki yake"... Nilikua namwambia kama kumshauri tu maana kwa upande wangu sioni umuhimu wa kuwasiliana na ao mabinti...
Cha kushangaza akamtafuta huyo anayejifanya ni rafiki yake na kumwambia yoote niliyomwambia [emoji16][emoji16], Tena akaongeza ambayo sikumwambia, basi huyo rafiki yake (Ex wangu wa zamani) akanitafuta na matusi kweli kweli...
Nimekaa nimejiuliza, huyu mwanamke wangu ambaye nimepanga nimuoe hana chochote, ananitegemea Mimi 100%, namuhudumia Kila kitu kwa mahitaji yake yote, Nina mipango mingi ambayo nahisi/ Naona kwamba nikioa atakuja kuyakamilisha Nina mtaji mkubwa tu, lakini mpaka Leo sijafungua mpaka nipate mke, nimejiuliza kama anaweza kunisnitch mbele ya ao wanawake huyu anashindwa nini kuniua uko mbeleni?, yaani huyu Mwanamke ambaye ananisnitch ndio niende kwao nikatoe mahari? Million 2 ? kwahiyo anafurahi nikitukanwa? Anapata nini sasa? Anapata faida gani?...
Kiukweli sijamwambia chochote nilichofanya ni kujikataa tu, tunaishi mkoa tofauti matumizi ya mtoto yakibana option atawatafuta ndugu zangu, nitatuma pesa kupitia ndugu zangu, sitaki contact na yeye kwa lolote aisee....
Nimerudi shamba kukomaa na project zangu za mashamba, ninaandaa ekari kama 57 miezi 6 sitapatikana hewani kabisa, Bora nikomae na maisha hizo habari za mapenzi sitaki kusikia kabisa..
Landa nikutafutie, ni uvinza-rugufu nilinunua ekari 70. Japo ninayo mengine sehemu mbali mbali kama ekari 14, 5 n.kKwa akili zako hizo achana na kuoa hao wanawake watakua bure, bado hujawajua hao wa dudu kalime mkuu, mimi nina shida na kupata heka 100 huko kwenu zipo? Shilling ngapi bei?
Iyo ni hasira za mimba tulia lea mtoto wako niamini mimi huyo mwanamke hana shidaTulikua tumeachana mzee, Sasa kama tumeachana nisitafute mbususu nyingine mkuu 😁
Bei ni laki na nusu, kwa hekari, pengine mpaka laki.....pengine laki 3 inategemea na eneo.Kwa akili zako hizo achana na kuoa hao wanawake watakua bure, bado hujawajua hao wa dudu kalime mkuu, mimi nina shida na kupata heka 100 huko kwenu zipo? Shilling ngapi bei?
Sawa mkuu nimekuelewa.Iyo ni hasira za mimba tulia lea mtoto wako niamini mimi huyo mwanamke hana shida
Bora kuoa mwanamke anakupenda kuliko kuoa unayempenda vikianza visa hutaamini jera kugusa
N.b kosea vyote sio wife za kuambiwa changanya na zako
Mkuu kwa kukodi au kununua kabisa ni mkoa gani huo?Bei ni laki na nusu, kwa hekari, pengine mpaka laki.....pengine laki 3 inategemea na eneo.
Bro usicheze na ugwadu na viuno vya pwani au vya umakondeni.. Kama sio legend unaweza kugawa mpaka urithi😭😂Mapenzi endelea nayo, ila mifumo ya Biashara kamwe haishirikishi mwanamke! Labda Kama wewe ni Mhindi au wale wachaga wenye asili hizo!
Kumbe 15m napata heka 100 au sio mkuu wilaya kibondo kasulu auujiji mkuu?Kigoma bado ardhi chini mzee.
tatizo Lina anzia hapa Kwenye kusimamia biashara zako kisa uko bize, aisee uta Lia na kusaga meno kwa kirumiNimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, ..