Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

Bro usicheze na ugwadu na viuno vya pwani au vya umakondeni.. Kama sio legend unaweza kugawa mpaka urithi😭😂

Ha ha ha! Uanaume kazi, ila sio kwa sisi ma Legend aisee, nitakupa kila kitu mwanamke anaitaji, ila kwenye mifumo ya Biashara ni mfanyakazi na Bocy, Hakuna mke wala mapenzi
 
But a short time to live...
Baada ya mazao kukomaa, kuvuna na kuanza kuingiza shekeli.. Hizo nyege hujui hata zimeingilia mlango gani.. Maana zitakuvamia mama mwizi😀

Hata wakati wa kulima ana nyege, anajidanganya, you can’t replace mapenzi na chochote, labda serious kickboxing, yao ni kwa mda tu!

Yeye aendelee na mapenzi ila aache wala future za biashara zake akimhusisha mwanamke yeyote duniani, atakuwa Fala!

Mwanamke aisee ni kiumbe cha ajabu, usije wekeza moyo wako humo utakuja kulizwa mpaka ushangae!
 
Hata mimi nimeshangaa 29yrs tu tayar anasema umri umeenda 😢😢😢
 
Mkuu, hao mashemeji wa zamani huitwa 'dear X'. Yaani unatafuta kaneno kazuri kumpamba, sawa na zeruzeru hutakiwa kuitwa albino.

Yawezekana kiswahili kina ukakasi sana.

Je umeshatafuta mbadala?

Maana si unaujua tena namna mkojo wa asubuhi unavyoshawishi?

Tafuta mwanamke wa maana wa kuweza kukuliwaza na kukutuliza akili zako uweze kufanya project zako kwa utulivu, mbona wapo tu wengi, hapo ndiyo utafurahia maisha sasa.

Lakini hao mashankumpe wa kuokoteza barabarani huwa hawajitambui na hawajifunzi, utapoteza tu muda wako bure.

Piga chini, kibali kimetolewa.
 
Kila mtu anadhan akimfungulia mkewe biashara ndo yatulia😅😅
Mkuu natumia experience Mimi mzee wangu anasafiri Kila week kufata mzigo nchi jirani, naona mama ndio in charge, ila tokea tunasoma nikimuomba mama hela anasema nimpigie mzee, hata akiwa nje kafata mzigo, yaani mother alikua hawezi kutoa hela yoyote mpaka father aridhie shida ni kuipata hiyo akili, but natamani sana kupata mwanamke wa hivyo...
Covax Vishu Mtata uttoh2002 Mshana Jr
 
Nimemalza kusoma andiko lote, wew ndo tatizo kubwa, huyo bi dada hana tatizo, haiwezekan mwanaume wake anaektegemea kama mme wa maisha, anapokua mbal na wew, unaanza u malaya wa kubadri wanawake kwa kivuri cha kutokua sirias nao, "wew ni malaya tena malaya uliyeshndikana" Bi dada anakelwa na hao wanawake zako
 
Mpk awe na akili iyo mkuu jitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…