Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

Mapenzi hayahitaji nguvu ni akili tu nguvu elekeza kwenye utafutaji mali.
 
usichochechee tatizo la singo maza beba mke wako nenda nae shamba,unataka aolewe na nani? nani wakuoa singo maza? kosa la binti ni nini? ulitaka ateseke kisa ma x zako?
 

Wa mwisho alikuwa Mama yako, hao wanawake ha wapo tena! Labda Dada zako nao kama walijifunza toka kwa Mama yao!

Sasa we jichanganye kwenye hizi kizazi cha nyoka, utakuja hapa kuomba maji ya kulainisha lol!
 
Kama una watoto/mtoto wapambie wapate mahitaji yote ya msingi,,,, ! Usiumize sana kichwa khs kufuga mtoto wa mtu ,,,, ! K zipo kila mahali, kila aina wewe tu,,, wanawake wa siku hz hapo mtaani unaomba namba Leo, baada ya siku 3 unaomba outing na unamtafuna huko huko
 
Mkuu, kuna namna uko very weak na huyo demu anakumudu.
Hizo guts za kupekua simu na kuchukua number anazitoa wapi, na muda hio wewe unafanya nini?,

Maana yake ni aidha umempa nywila, au alikulazimisha kwa nguvu na anapekua anavyotaka
Wewe ni dhaifu sana
 
Naona umejiuliza swali na ukajijibu, Mimi simu yangu siweki password, then nilipokutana nae nilikua nimeshaachana na wale mademu, alikuta text tu tsup, ndio akachukua namba,
 
Naona umejiuliza swali na ukajijibu, Mimi simu yangu siweki password, then nilipokutana nae nilikua nimeshaachana na wale mademu, alikuta text tu tsup, ndio akachukua namba,
Hizo tu guts za kushika simu na mlishaachana ndio tayari inadhiirisha ni weak na una uanaume ukiwa nae.
Huyo kaanae mbali haumuwezi
 
🎶 Oh mapenzi kilio, nenda waulize wenzio ni mdudu wa sikio akikung'ata husikii la yeyote 🎶
 
Watu wote wanaowasiliana na maex ni wa kuwakimbia,watakuumiza,hawafai... maana hawajui kujisimamia...wanaishi maisha ya drama.Usipoteze furaha kisa ndoa...🚮
 
Hasira tu hizo mkuu, bado hujaachana na mapenzi, utarudia tena na tena na utapigwa matukio ya uhakika na si hayo ya kitoto unayolalamika hapa.
 
Kwani lazima uoane na huyo baby mama wako?
Hebu tafuta mwanamke mwingine utulie naye
 
Babayo alimuoa mamayo sio kwa minajili ya kumuweka kwenye biashara zake, hiyo imekuja kutokea baada ya mambo kua mengi ikabidi wasaidiane sasa(japo sikujui).

Sasa unaoa mtu hata hamjuani vizuri unamuweka kwenye biashara, atajipa umuhimu ambao hana, tofauti labda na mamayo ambae si ajabu mzee alikua anaprovide kila kitu mwanzo ila baada ya mambo kua mengi na ninyi kuzaliwa basi mamayo inabidi nae asimamie miradi ambayo anajua fika ni kwa ajili yenu wanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…