Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

But a short time to live...
Baada ya mazao kukomaa, kuvuna na kuanza kuingiza shekeli.. Hizo nyege hujui hata zimeingilia mlango gani.. Maana zitakuvamia kama mwizi😀
Haha🤣🤣🤣 jamn jamn
 
Jembe halimtupi mkulima ila pia Kuna kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…