Halafu siku hiyo hata nguvu ya kupiga show ya kibabe huwa inakuja kwa kasi automatically unajikuta unatembeza pira kwa demu mpaka unamuonea huruma mashine hailaliWanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!
Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.
Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.
Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
Dah ulimuweza xanaIyo nilishaifanya zaman sana kabla ata sijaoa,
Very good bora umekuwa direct wengine wanazunguuuuuuuka ishiiiiiy...ila wao wanahitaji pesa
Kwanza una muda asee[emoji848][emoji848]Iyo nilishaifanya zaman sana kabla ata sijaoa,
ILIKUA HIVI,[emoji116]
Nikajisemea kimoyo moyo,
" NAAM , Hapa ndo nlipokua napataka[emoji4]. Amekua serious na mahusiano sasa [emoji106]"
Narudia tena ...una muda sana na hii sektaMwanamke akishakuchoka wala hajifichi, na hata huwez tumia nguvu kubwa kumjua.
Mwanamke akimchoka mwanaume hajali chochote kile tena kwenye mahusiano.
Na kama unajua vizur kutengeneza ugomvi feki,
Unaweza kumtengenezea ugomvi maksudi ili upate sababu ya kuachana naye kimahusiano.
Hahahaha na mimi na log off😂😂😂Hata usipomgombeza atajigombeza mwenyewe
Nalog off
Wanawake mtabisha ila kiuhalisia mtoa mada yupo sahihi.Hebu fatisha uzi huu kumbe na yeye ameshakuchoka.
JF utaiona chungu.
Hakuna kitambaa kimoja kinachoshona mahusiano yote.
No hard and fast rule applies equally to all relationships.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wahuni sio watu wazuri, wasije kusaidia kazi.
Halafu siku hiyo hata nguvu ya kupiga show ya kibabe huwa inakuja kwa kasi automatically unajikuta unatembeza pira kwa demu mpaka unamuonea huruma mashine hailali
Unapofanya hivyo hakikisha huyo mwanamke anakupenda sanaa
Vip na wale wa kanda maalum wakizinguana, wanamke anashika panga mwanaume ana shoka, halafu kesho yake unawaona hao wanashikana mikono wanaelekea shambani.
Wale mapenzi yao uyaache kama yalivyo.Ukiingilia wewe unashangaa unakatwa masikio [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatar sanaHayo makundi mawili ya kwanza ndio yanayohusiana na huu uzi hao wengine chini huko ni irrelevant! Wanawake vilizi na wanaopenda kusali sali ndio wako romantic mara nyingi hivyo viji drama vya kununiana na kupigana mikasi ndio wanaviweza!
Sasa yule binti fulani ukimtibua usitegemee kuna kula tunda hapo! Fita ni fita muraaa
Kabisa[emoji106] wakuu wanachanganya madesaTatizo wajuba wanadhani ni ule ugomvi kama wanaofanya watu wa mkoa wa Mara sio huo kabisa nazungumzia kaugomvi kasichokuwa na madhara yeyote [emoji28]