Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!

Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati mmetoka kutatua ka ugomvi fulani hapo atajifanya kama kanuna na katabasamu kanakuja kwa mbali na huwa inajenga sana kisaikologia
Halafu siku hiyo hata nguvu ya kupiga show ya kibabe huwa inakuja kwa kasi automatically unajikuta unatembeza pira kwa demu mpaka unamuonea huruma mashine hailali
 
Pekua simu yake Mkuu. 😂😂😜
Kabisa,
Binafs nna miez 2 hatujazinguana kidogo na shemej yako.

Naona
Amekaa kizembe zembe sana,nyumba imepoa.

Nipe wazo mkuu,
Nimtaftie kosa gani leo hii ili mradi tu tuzinguane kidogo leo achangamke changamke kidogo.
 
Unapofanya hivyo hakikisha huyo mwanamke anakupenda sanaa
 
Vip na wale wa kanda maalum wakizinguana, wanamke anashika panga mwanaume ana shoka, halafu kesho yake unawaona hao wanashikana mikono wanaelekea shambani.
 
Iyo nilishaifanya zaman sana kabla ata sijaoa,

ILIKUA HIVI,[emoji116]



Nikajisemea kimoyo moyo,
" NAAM , Hapa ndo nlipokua napataka[emoji4]. Amekua serious na mahusiano sasa [emoji106]"
Kwanza una muda asee[emoji848][emoji848]

Pili ulimuoa?
 
Mwanamke akishakuchoka wala hajifichi, na hata huwez tumia nguvu kubwa kumjua.

Mwanamke akimchoka mwanaume hajali chochote kile tena kwenye mahusiano.

Na kama unajua vizur kutengeneza ugomvi feki,
Unaweza kumtengenezea ugomvi maksudi ili upate sababu ya kuachana naye kimahusiano.
Narudia tena ...una muda sana na hii sekta

Vyotee hivyoo
 
Hebu fatisha uzi huu kumbe na yeye ameshakuchoka.

JF utaiona chungu.

Hakuna kitambaa kimoja kinachoshona mahusiano yote.

No hard and fast rule applies equally to all relationships.
Wanawake mtabisha ila kiuhalisia mtoa mada yupo sahihi.
Mwanamke bila kumpa shuruba kidogo anakuona zumbukuku
 
Halafu siku hiyo hata nguvu ya kupiga show ya kibabe huwa inakuja kwa kasi automatically unajikuta unatembeza pira kwa demu mpaka unamuonea huruma mashine hailali

Ni kweli kabisa mkuu unakuta mashuti on target ni zaidi ya 300[emoji28]
 
Unapofanya hivyo hakikisha huyo mwanamke anakupenda sanaa

Kwa sisi makocha wabobezi unamsajili mchezaji mwenye mapenzi na Timu tu usisijili uchezaji ambaye hana mapenzi na timu maana pesa ikikata anavunja mkataba nadhani wajuba wamenielewa
 
Nyie ndio wake zenu wanatongoza watu huku mitaani kuwa hawana furaha kwenye ndoa.
 
Hayo makundi mawili ya kwanza ndio yanayohusiana na huu uzi hao wengine chini huko ni irrelevant! Wanawake vilizi na wanaopenda kusali sali ndio wako romantic mara nyingi hivyo viji drama vya kununiana na kupigana mikasi ndio wanaviweza!

Sasa yule binti fulani ukimtibua usitegemee kuna kula tunda hapo! Fita ni fita muraaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatar sana
 
Back
Top Bottom