Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Nmemzingua jana mchana[emoji1]
Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,[emoji1][emoji1][emoji1]
Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu[emoji4]
Safi Sana[emoji23]
Anademka demka TU Kama MAHARAGE mabichi Kwenye sufuria
 
Kwa sisi makocha wabobezi unamsajili mchezaji mwenye mapenzi na Timu tu usisijili uchezaji ambaye hana mapenzi na timu maana pesa ikikata anavunja mkataba nadhani wajuba wamenielewa
[emoji4]kweli kabisa
 
Yuko tofaut eeh[emoji4]
Yeah hayo mambo ya kumtibua kisha ujifanye unaomba papuchi atakukera๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wala usijaribu kujibebisha!

Labda tu umle kimasihara ile session mnataniana hapo mara umemzama ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ila sio umvuruge eti ili umle mambo!
 
Yeah hayo mambo ya kumtibua kisha ujifanye unaomba papuchi atakukera[emoji23][emoji23][emoji23] wala usijaribu kujibebisha!
Ha ha ha..anahitaji maombi uyo.

Uyo Atakua keshafanywa kua na Moyo mgumu Kama wa farao[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ