Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Mapenzi yanahitaji mchakamchaka

Nmemzingua jana mchana[emoji1]
Mpaka sasa naona anapost tu ujingaujinga status wa kunilenga mimi,[emoji1][emoji1][emoji1]
Kunitext anatamani ila anasita anaona afikishe ujumbe kupitia status tu.
Me namcheki tu[emoji4]
Safi Sana[emoji23]
Anademka demka TU Kama MAHARAGE mabichi Kwenye sufuria
 
Yeah hayo mambo ya kumtibua kisha ujifanye unaomba papuchi atakukera[emoji23][emoji23][emoji23] wala usijaribu kujibebisha!
Ha ha ha..anahitaji maombi uyo.

Uyo Atakua keshafanywa kua na Moyo mgumu Kama wa farao[emoji4]
images-261.jpg
 
Back
Top Bottom