Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.