je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz
kwani mapenz yanauma kwa watoto!we vepe
Nimpenzi wako na unampenda sana ndio mana unaumia? sasa sikia Ukimchunguza sana kuku ana kula nini anapita kwenye mitaro,anakula kinyesi au laa,amekunywa maji machafu au laa ATAKUSHINDA KUMLA,mpenzi wako akiwa kama binadamuni mpenzi wangu na nampenda sana dats naumia
inawezekana umemkera ndio akawa kimya. mpigie ujue sababu, ukijifanya unanuna wenzio ndo wanachukua nafasisi kawaida yake kukua kimya ivi na yeye hata kam sijamtafuta
Of all the pains and complications that relationships can bring, u call this pain?
Kwamba uhusiano unaona uko shwari ndo unaenda kustir trouble? Young man, do not entice problems because u can't handle them even when they come accidentally. Wacha uf*la
Nimpenzi wako na unampenda sana ndio mana unaumia? sasa sikia Ukimchunguza sana kuku ana kula nini anapita kwenye mitaro,anakula kinyesi au laa,amekunywa maji machafu au laa ATAKUSHINDA KUMLA,mpenzi wako akiwa kama binadamu
huenda akakukosea zaidi ya hayo unaweza ukakuta sms ambayo haita kuridhi chakufanya Acha kumfatilia kama umekubali kumuamini basi amini kwa asilimia 100 au sivyo Utakuja kujitundika kama ni wale wanaopenda kujiua au atakuja kuumia,narudia tena nimpenzi sio mke kwa hiyo hata kukwambia nimeolewa uwezekano upo kwa asilimia 100...
Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma lov,akajibu poa.Akauliza nan nikamwambia si mpenzi wako!akasema ni nani nimtajie jina.Nilichoka kwa kweli nikamwambia p.Baada ya hapo akawa ananipgia na kutext kwenye line yang bt sikujibu nikamwambia niko bize ntakuchek badae.Toka hiyo jana adi saiz ni kimya kabisa na mim sijamtafuta.je ananipenda kweli au maana hapo naugulia maumivu ya moyo:msaada Plz
Kunywa panadol, maumivu yakizidi muone daktari.
Kufumania inataka uwe umejiandaa..... UTATAFUTA MAMBO UKIYAKUTA UNAKUJA KULIA LIA HUKU....
inawezekana umemkera ndio akawa kimya. mpigie ujue sababu, ukijifanya unanuna wenzio ndo wanachukua nafasi
Okay, In ur perspective. Ulivyomaliza huo uchunguzi umegundua n nini tatizo?for me pains from love affairs haven't camparable ones
Of all the pains and complications that relationships can bring, u call this pain?
Kwamba uhusiano unaona uko shwari ndo unaenda kustir trouble? Young man, do not entice problems because u can't handle them even when they come accidentally. Wacha uf*la
sasa mkuu mbona ananipenda sana na anasema hawezi kuwa na mwanaume mwingine zaid yangu,na nikikutana nae tunaposex kitu kinakuwa mnato kabisa