Mapenzi yanauma lakini kuna kale ka-feeling mkizama kwenye dimbwi la mapenzi

Mkuu njaa haikukuuma kisawasawa wewe.!!
Usile sababu ya mtu mzima mliyekutana ukubwani? Mwenye minjino 32 mengine yameoza na kutoboka?? 😹😹😹
Pole sana
 
Nilifall in love kipindi niko o'level na advance tu, baada ya hapo sijawahi kua ile deep kabisa mpaka nimiss au niumie kwa manzi kunicheat au kuniacha kabisa.

Waliotopea kwenye mapenzi huwaambii kitu kuhusu wapenzi wao, hata mimi enzi hizo sijui unambie kuhusu demu wangu nikuamini, haya mambo haya aisee.
 
Acha tu bro kale kafeeling sio poa

Imagine watu tumeachwa tunasikilizia maumivu miaka 3 baadae

Unanyatia IG yake uone anafanya nini

Namba unayo unatamani upige ila dah

Ukikumbuka yale manjonjo....

Acha tu
Achana na kumfuatilia fanya mambo yako. Wala usitake kujua amefanikiwa au amefeli maisha. Niko na jamaa namuelekeza kazi yeye maex wake wakinunua magari anasikitika anakosa hamu ya kula. Namuona bwege
 
Mkuu njaa haikukuuma kisawasawa wewe.!!
Usile sababu ya mtu mzima mliyekutana ukubwani? Mwenye minjino 32 mengine yameoza na kutoboka?? 😹😹😹
Pole sana
tena mate chini.. nilikuwaga na mie nasema kama wewe... ila nilipojaa kwenye mfumo.. nilielewa hata wengine ilikuwaje wakajiua wengine kujirusha kwenye vyombo vya usafiri.. zunguka tu.. ila usijae kwenye mfumo
 
Kujiua tena?? 😹😹😹
Kemea pepo hilo, maisha yalivyo matamu nijiue??
Utapata mwingine utakayempenda mpk utajiona mjinga kujiliza kwa mtu km huyo.!!
Jifunze kumuacha aende, hiyo ni njia ya kufungua yule mtu sahihi kukufikia.
 
yes, huwa inafika kipindi unaachia.. ila kabla ya kuachia kuna mateso sio ya kitoto
 
nilipendaga ilo lijamaa enzi izo mshamba wa mapenz sjui hata mshindo ni nini,, aaaloooooh badala anifundshe aliniacha kwa dharau sana 😫,, maumivu yaleeeee
maumivu yakd sio ya kitoto.. hasa sie wengine tulikuwa na ndoa kabisa.. aah.. hii kitu sikia kwa mwingine, ukifikwa na bwana maumivu ndio utajua.. kuna mahala unatamani iwe ndoto.. lakini waaapiii
 
Mapenzi hayaumi, watu ndio wanaumwa.

Mimi mbona sijawahi kuumwa na mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…