Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Sina mood

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
248
Reaction score
1,442
Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.

Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.

Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.

Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
 
Jamaa unaongea kwa hisia kichizi
 
Back
Top Bottom