Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Unautani...!damu imechoka hii sifeel anything...! Au tumpe uniko flawa? UnaonajeMrs Thabo Bester mkubalie huyu jamaa bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unautani...!damu imechoka hii sifeel anything...! Au tumpe uniko flawa? UnaonajeMrs Thabo Bester mkubalie huyu jamaa bana
muache bebi wangu😂Unautani...!damu imechoka hii sifeel anything...! Au tumpe uniko flawa? Unaonaje
'ipo siku utaniona mlangoni kwako'😂rasta miaka 15 ninyoe, hapana bora niende hata njombe nikapigwe na baridi 😂
ukiachwa achika mbona watoto wazuri ni wengi sana, tatizo ni kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine.
Unampenda mtu kwa moyo na akili zako zote, kumbe ye anapenda kiporo cha wali ndondo😋rasta miaka 15 ninyoe, hapana bora niende hata njombe nikapigwe na baridi 😂
ukiachwa achika mbona watoto wazuri ni wengi sana, tatizo ni kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine.
Aisee 😃😃😃🤔Mimi sijamwambia aje aseme kwa niaba yangu
auntie na wewe unateseka na mapenzi😂Unampenda mtu kwa moyo na akili zako zote, kumbe ye anapenda kiporo cha wali ndondo😋
Asa hapo ukiachwa utalalamika jamani
.Unautani...!damu imechoka hii sifeel anything...! Au tumpe uniko flawa? Unaonaje
Bro kuna hela na kuna mapenzi elewa hiyoMkuu tafuta Hela ..ukiwa na Hela huwezi teswa na mapenzi .
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile
Na mm Nakaza zaidi mpaka fuvu liweke ufa. LIJINGA.Nakazia
Halafu weekend yenyewe hauna hata miaKuachwa af weekend inauma nyie[emoji23]
Yalinitesa zamani 😂😂😂hahaha
we mwenyewe unateseka na mapenzi😁
Nishazeeka mimi totoo, mapenzi nimewaachia nyie vijanaauntie na wewe unateseka na mapenzi😂
🤣🤣🤣🤣🤣Na mm Nakaza zaidi mpaka fuvu liweke ufa. LIJINGA.
Aah lazima udate mbonaHalafu weekend yenyewe hauna hata mia
Pole sana mkuu,Mungu akusaidie,wanawake watulivu ni wachache sana,Muombe Mungu akupatie wa kwako,huyo alikuwa sio riziki yako.Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.
Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.
Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.