Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Bora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.

Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.

Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.

Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
Tayari tayari
 
Kila cku tunawakumbusha vijana kuwa m/mke sio ndugu yko hamuelewi mnajisahau, Tembezen fimbo mtembee bila ya kuaga.

I have never trusted a woman in my life not even my blood Mother wakuu..
 
Rasta ulivyozisotea hivyo leo uzinyoe kirahisi rahisi tu, hapana

Mpe hi hiyo mrembo, wengine huku ndio wameachwa daah life is not fair🤣
rasta miaka 15 ninyoe, hapana bora niende hata njombe nikapigwe na baridi 😂

ukiachwa achika mbona watoto wazuri ni wengi sana, tatizo ni kujipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom