Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
life is not fair at all kikubwa ukipata nafasi ya kumuonesha mtu upendo fanya hivyo mpaka atakapoona yeye inatosha aidha kwa kusema yeye mwenyewe au kwa mienendo/tabia zake.Cha kushangaza kuna wale ambao tunawapenda hivyo hivyo bila kujali wana pesa au hawana,wana Mali au hawana,yani tunawapenda jinsi tu walivyo bila kuangalia madhaifu yao,lkn Hawa ndio wale ambao hata hawaelewe na hawathamini upendo wetu kwao,wanatuona wajinga na hatuna pa kwenda,life is not fair at all