Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Nyie nao mmezidi by the way mkuu unataka wadada wapende nini wasipopenda hela..?
I do calculate some calculation I can't get any answers more than money!..
They do have to love it,akupende na umasikini umpake shida..??😅
Wanaume unampendaje Single mother akupake maziwa
 
Vijana wanasumbuliwa sana na mapenzi siku hizi, ningewashauri mfanye kama mimi lakini mbinu zangu sio rahisi kuzifuata, mimi kwanza hakuna mwanamke ambae simpendi, awe mzuri kama malaika au mbaya kama shetani, ila ili nikupende kwa moyo wangu wote inabidi ukidhi vigezo vyangu vyote, nitaanza kukupenda taratibu na kadiri unavyoonesha ushirikiano ndio mapenzi yanaongezeka, ila ushirikiano anaotoa lazima uwe kutoka moyoni mwake[emoji817] na hauwezi kunidanganya, lakini kwa bahati mbaya wanawake hawatabiriki, anaweza kukupenda kufa lakini akikubadilikia ndio imeisha hiyo. Sasa kwa mbinu kama hizi kupata atakae kupenda kweli kweli sio rahisi. Unaweza kujikuta maisha yako yote unaishia kuwa na sex partner au parents partner na sio love partner. Kwa ufupi hii sio generation ya mapenzi kwa sana, ni mapenzi kidogo kazi kwa sana. After all pole kwa yote.
 
Haya mambo yanaumiza sana nimegundua kwa nini usipotumia akili unaweza kuua au kujiua.
kuna binti nilimpenda sana,kuna siku alikuwa anahitaji ufafanuzi wa jambo fulani LA kiofisi nikamuunganisha na rafiki yangu ili ampe ufafanuzi.Badaye kuna siku tulikuwa wote kwa bahati mbaya nikashika simu yake nikaona wanawasiliana mara kwa mara-nikamuuliza kulikoni,akakiri huwa wanawasiliana tu kujuliana hali-niliumia sana,ingawa aliahidi ataacha na jamaa nae akikiri watasitisha mazoea.

Kwa kuwa jamaa tuko Ofisi mmoja Leo,sijui in Mungu-kwa bahati nikashika simu ya jamaa yangu nikaona SMS za binti,kwa kweli nimejisikia vibaya san.Mawazo ya kufanya jambo baya yamenijia akilini ghafla.
 
Pole mkuu
 
Wanawake again! Ishi nao kwa akili yaan hili agizo lilitoka kwa Mungu mwenyewe kwasababu yeye mwenyewe anawajua hawa viumbe kwamba hawako sawa. Shida ya wanaume tunaanza kutumia hisia tutalia sana
 
Haya mambo yanaumiza sana nimegundua kwa nini usipotumia akili unaweza kuua au kujiua.
kuna binti nilimpenda sana,kuna siku alikuwa anahitaji ufafanuzi wa jambo fulani LA kiofisi nikamuunganisha na rafiki yangu ili ampe ufafanuzi.Badaye kuna siku tulikuwa wote kwa bahati mbaya nikashika simu yake nikaona wanawasiliana mara kwa mara-nikamuuliza kulikoni,akakiri huwa wanawasiliana tu kujuliana hali-niliumia sana,ingawa aliahidi ataacha na jamaa nae akikiri watasitisha mazoea.

Kwa kuwa jamaa tuko Ofisi mmoja Leo,sijui in Mungu-kwa bahati nikashika simu ya jamaa yangu nikaona SMS za binti,kwa kweli nimejisikia vibaya san.Mawazo ya kufanya jambo baya yamenijia akilini ghafla.
Haha! Be strong kaka... sometimes mungu anakukutanisha na mtu mjuane tu ila haimaanishi kwamba ndo mtakuwa daima na milele...ingawa wewe unaweza kuwa na nia njema na thabiti kwake lakini yeye akawa hajitambui wala hayuko tayari. Na huenda jamaa yako ndo kakutana na mkeo hapo, na wewe ndo uliewakutanisha. Usijali... utaumia na utasahau. Achana nae tu!
 
Let it come.
Itakuta nishai enjoy vya kutosha moron!
Jamaa atakuwa anakukunja sana! Sio kwa ku-broadcast na ku-expose furaha zako na siri zako kiasi hiki 😃😅😅😅🙌🏾

Dahh! Si bure 🤣🤣🤣 ukikua utaacha
 
Wanaume unampendaje Single mother akupake maziwa
Kwa taarifa yako hakuna mapenzi ya dhati utayapata kama kutoka kwa mwanamke ambaye aidha ni divorced au alishazaa akapata life lesson na akajitambua akaamua kuwa serious na maisha.

Wanawake wa aina hiyo ni material sana! Asikwabie mtu ila akili kumkichwa as-ussual na Slogan yetu dhidi ya trust kwa wanawake hatuisahau
 
Kwa Nkapa hatoki ntu!! Huu mwezi nao hamtoboi mshauanza vibaya dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ladies zamu yetu kutesa hawa viumbe, tuwapige matukio mpk mishono ya uzazi ya mama zao ifumuke kabisaaa
 
Back
Top Bottom