Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Hizi shutuma ni nzito sana...zipuuziwe
 
Hebu tukaribishe sabato kwa amani mkuu sweet potatoes wangu.
Iam in a happy mood please please join me mkuu.[emoji7]
Tatizo lako una wivu sana kama nyegere kizur kula na ndugu yako
 
Tayari ushapigwa
 
Sasa ukiniacha lawama ni za nani?

Mimi nikikuacha utanilaani lkn ukiniacha roho yangu ni nyepesi kiroho safi muda ukifika navua CHUMA kipya kikali zaidi🤣🤣🤣🤣

Lkn nikikuacha nitajisikia hatia sitakuwa na amani ya moyo.
Kumbe!! kwani mara ya mwisho kuacha mtu ni lini hata bado unakumbuka mambo ya kujisikia hata?
 
Cute wife ila afya ya penzi lako na cantri limezorota ila uko busy na watu[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji28][emoji28][emoji28]

Kantri wangu iwe mvua au jua, sema kajipa likizo ya kujipooza machungu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ya watu siachi kufatilia mpk mniue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume muda Mwingine Tunakosea ni Sisi, Tunatumia moyo instead of akili , Unaona nyama kumbe Kwa wenzio ni fupa 🥲.

Hatuulizani, Wana Tukikuambia unasema Tunakuonea wivu
 
Kumbe!! kwani mara ya mwisho kuacha mtu ni lini hata bado unakumbuka mambo ya kujisikia hata?
Mimi huwa siachi, naacha nikiachwa.
Very simple.
Nikipenda ujue nimetafiti nikagundua huyu mdhaifu wangu naweza kuyabeba madhaifu yake.

Hivyo kuacha aniache yeye ndipo nimuache🤣🤣🤣

Najua hutanielewa.

Kuachika maana yake ni pale akikiuka misingi muhimu ya mapenzi..
1. Amecheat...maana yake amejiondoa

2. Mshirikina...amejiondoa

3. Mgomvi amejiondoa

4. Muongo amejiondoa.
 
Kantri wangu iwe mvua au jua, sema kajipa likizo ya kujipooza machungu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila ya watu siachi kufatilia mpk mniue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shem njoo mchukue mtu wako anatusumbua huku Countrywide
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…