Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Wa mtu sumu,shauri lako.Simwamini hadi nione kwa macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mtu sumu,shauri lako.Simwamini hadi nione kwa macho
Nani kasema?Hata nyie kwa akili tuishi na nyie
Hizi shutuma ni nzito sana...zipuuziweBora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.
Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.
Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
We unacheka Nini[emoji1787]?
Karma is real😬😬😬😬
Wana haki yakusema hivyo.
Hata mimi wakati niko na mbabaishaji fulani hivi nilikua naona wivu kuona watu wanapendana.😬
Kweli udugu lawama,,angekuwa mwingine hapa pangewaka😅😅Dada nimefurahi kukuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lako una wivu sana kama nyegere kizur kula na ndugu yakoHebu tukaribishe sabato kwa amani mkuu sweet potatoes wangu.
Iam in a happy mood please please join me mkuu.[emoji7]
Kweli udugu lawama,,angekuwa mwingine hapa pangewaka[emoji28][emoji28]
Nyau
Tayari ushapigwaBora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.
Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.
Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
Kumbe!! kwani mara ya mwisho kuacha mtu ni lini hata bado unakumbuka mambo ya kujisikia hata?Sasa ukiniacha lawama ni za nani?
Mimi nikikuacha utanilaani lkn ukiniacha roho yangu ni nyepesi kiroho safi muda ukifika navua CHUMA kipya kikali zaidi🤣🤣🤣🤣
Lkn nikikuacha nitajisikia hatia sitakuwa na amani ya moyo.
Cute wife ila afya ya penzi lako na cantri limezorota ila uko busy na watu🤦🤦🤦🤦😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee
Nakupenda mdadaNyau
Cute wife ila afya ya penzi lako na cantri limezorota ila uko busy na watu[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi huwa siachi, naacha nikiachwa.Kumbe!! kwani mara ya mwisho kuacha mtu ni lini hata bado unakumbuka mambo ya kujisikia hata?
Njoo ulee ndoa achana na mambo ya watu😆Cute wife ila afya ya penzi lako na cantri limezorota ila uko busy na watu🤦🤦🤦🤦😅😅😅
mbavu sina!!!!!Nakula Dona na mandondo😋, nikishiba nalala nasahau kama kuna kunjunjana
Shem njoo mchukue mtu wako anatusumbua huku CountrywideKantri wangu iwe mvua au jua, sema kajipa likizo ya kujipooza machungu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ya watu siachi kufatilia mpk mniue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]