Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Hawezi kuja ana hasira sana, katoa talaka 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hasira zikimuisha anakuja kuchana tunaendelea [emoji2222]
Ngoja utungiwe Wimbo kama Stamina alivyofanya ndio utajua hujui!
 
Sasa ushinde unabembeleza vitu vya kijinga vya nini, wakati wengine wanavyo vitraaamu kuzidi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] utraaamu mpk kisogoni
Anang'ang'aniaga kusiko mwache afe na shida zake akamuliwe vijiechenji mpaka azeeke
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikimpa vya uswazi mwenyewe anaenda TCRA kuomba wimbo ufungiwe
Juzi niliangalia insta page Moja ya umbea nikakuta dada karuka ule msamba ulisema wa kwenda kumdai shoga asie na Fadhila,nilijikuta nacheka sana nikaconclude huyu lazima ni cute wife
 
Juzi niliangalia insta page Moja ya umbea nikakuta dada karuka ule msamba ulisema wa kwenda kumdai shoga asie na Fadhila,nilijikuta nacheka sana nikaconclude huyu lazima ni cute wife

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Hatareee kabisaa udugu analeta mbambamba hataki kurudisha fadhila, pesa zenyewe tumekopa kausha damu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na atazeeka atakuwa km mkata mkaa we mwache ajifanye mapenzi kazaliwa nayo
Anaowataka ni wale wanaowaza mabillioni sio maelfu na hawamtaki sasa ndio ukweli anajikombaje hadi ameotwa kiparaa ,wananunuliwa marange yeye anatembelea IST wapi na wapi angewapenda saizi yake angeshaoa ila ni maisha yake😉
 
Ni kweli Mwachiluwi soma hi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…