YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Njoo ulee ndoa achana na mambo ya watu[emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ulee ndoa achana na mambo ya watu[emoji38]
Shem njoo mchukue mtu wako anatusumbua huku Countrywide
Shem njoo mchukue mtu wako anatusumbua huku Countrywide
Kuku wangu mwenyewe manati ya Nini Sasa??niache😅😅😅Shem anakuita ukalinde ndoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja utungiwe Wimbo kama Stamina alivyofanya ndio utajua hujui!Hawezi kuja ana hasira sana, katoa talaka 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasira zikimuisha anakuja kuchana tunaendelea [emoji2222]
Yes unajishaua kumbe bwana amezaa njee au mnaishi nyumba yakupanga bwana amemjengea kimada nyumba nakamnunulia gari nyie hamuaminikiNani kasema?
Anang'ang'aniaga kusiko mwache afe na shida zake akamuliwe vijiechenji mpaka azeekeSasa ushinde unabembeleza vitu vya kijinga vya nini, wakati wengine wanavyo vitraaamu kuzidi [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] utraaamu mpk kisogoni
Kuku wangu mwenyewe manati ya Nini Sasa??niache[emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja utungiwe Wimbo kama Stamina alivyofanya ndio utajua hujui!
Anang'ang'aniaga kusiko mwache afe na shida zake akamuliwe vijiechenji mpaka azeeke
Juzi niliangalia insta page Moja ya umbea nikakuta dada karuka ule msamba ulisema wa kwenda kumdai shoga asie na Fadhila,nilijikuta nacheka sana nikaconclude huyu lazima ni cute wife[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nikimpa vya uswazi mwenyewe anaenda TCRA kuomba wimbo ufungiwe
Juzi niliangalia insta page Moja ya umbea nikakuta dada karuka ule msamba ulisema wa kwenda kumdai shoga asie na Fadhila,nilijikuta nacheka sana nikaconclude huyu lazima ni cute wife
Anaowataka ni wale wanaowaza mabillioni sio maelfu na hawamtaki sasa ndio ukweli anajikombaje hadi ameotwa kiparaa ,wananunuliwa marange yeye anatembelea IST wapi na wapi angewapenda saizi yake angeshaoa ila ni maisha yake😉[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na atazeeka atakuwa km mkata mkaa we mwache ajifanye mapenzi kazaliwa nayo
Ni kweli Mwachiluwi soma hiBora uumwe ugonjwa wowote maana ukipata dawa utapata relief au kupona kabisa kuliko kuumwa ugonjwa wa akili unaotokana na kuumizwa kimapenzi haswa kwa mtu uliyemuamini na kumkabidhi moyo wako na kuonesha mapenzi Yako ya dhati kwake.
Wasababishi wakuu wa hili tatizo kwa asilimia kubwa ni wanawake kutokana na tamaa zao wanawaacha wapenzi wao kisa tu hali ya kimaisha na kwenda kwa vibosile, inaumiza sana asikwambie mtu na kama huja experience basi bado hujakua au bado hujapenda.
Sasa ubaya wa hili tatizo unafanya wanaume wengi kuwa waongo waongo, kuwa walevi na kuwa wanunuzi wa "Mbususu" wachape zao wapite mbele.
Nyie wanawake dhambi ya usaliti itawatafuna mnapenda sana hela nyie kuliko mapenzi ya dhati.
Eh analishwa home badooKo ana lishwa😂🤣🤒
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mchumba ss hivi sikukazii njoo basi tajiri [emoji23][emoji23][emoji23]