Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

hapa bongo linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi inatakiwa uingie ukiwa umeshiba.

Jikaze, hakuna asiependa hela
 

Attachments

  • Screenshot_20230804_121427.jpg
    Screenshot_20230804_121427.jpg
    53.6 KB · Views: 3
Cha kushangaza kuna wale ambao tunawapenda hivyo hivyo bila kujali wana pesa au hawana,wana Mali au hawana,yani tunawapenda jinsi tu walivyo bila kuangalia madhaifu yao,lkn Hawa ndio wale ambao hata hawaelewe na hawathamini upendo wetu kwao,wanatuona wajinga na hatuna pa kwenda,life is not fair at all
Hawa wanaume wa ivi wanatesa jmn basi tu
 
Back
Top Bottom